Share coca imeishia wapi?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Dah kweli kila kitu kina msimu siamini kama kale kamchezo kakuandika majina ktk chupa za soda kameadimika maana ilikua kama mashindano....ilitaka kusababisha hatar ktk mahusiano baada ya mpenzi wangu kusikia nina kamchepuko kanaitwa lucia afu akakuta gheto kuna kizibo cha coca kimeandikwa lucia akajua tumeshare coca kumbe nilinunua bila kujua
 
ahaaa staki kabisa maana iliyumbisha ndoa yangu

Haya inakuja nyingine kubwa kulikooooooo jiandae kuachana nae kabsa maana unaonenakana uko macho juu kama mamba
 
Ile ni kampeni tuu brother na huwa ina muda maalum, innovation is life
Sasa ivi ni Sababu bilion za kujiamini
 

wameshapata walichokitaka ambacho ni " profit " na " fame " na sasa wanajipanga jinsi ya kuja na kitu kingine. hakika ktk hii consumerism world adverts dictates our lives.
 
Share Cocacola itaendelea kuwepo, labda kiwanda kife. Share maana yake changia, hivyo waweza kuendelea ku Share kwa kunywa Cocacola ukiwa na rafiki yako, yaani mnachangia chupa moja
 
Share Cocacola itaendelea kuwepo, labda kiwanda kife. Share maana yake changia, hivyo waweza kuendelea ku Share kwa kunywa Cocacola ukiwa na rafiki yako, yaani mnachangia chupa moja

i mean zile mbwembwe za kudowload app ktk playstore zen unaattach jina lako ktk chupa...
 
Infwakt tumeisimamisha becose kulikuwa hakuna majina ya muganyizi wala rweyemamu au tibaigana so by the way majina hayo tutayaweka kwenye whisky au Heineken sio vinywaji vidogo vidogo kama Coca Cola.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…