Huyo wa kwanza, kanimaliza. Ni original kabisa dah!!
kiwatengu na huyu mamaafacebook ni nani? Au kuna kubwa na ndogo?asante kwa mwito mkuu, naona kiongozi mshana anamremba mke wangu kwa picha bana
kiwatengu na huyu mamaafacebook ni nani? Au kuna kubwa na ndogo?
huyu mamaafacebook ilikuwa ni one night stand baasi...
Mbona yeye kasema hakujui wewe?By the way hongera kwa kujua kuchagua
ha ha ha chezea watoto wa kitanga..
hijabu kichwani.
kitandani uchi!! wee
na ndiyo mke wangu sasa..
afadhali umuulize nikiuliza mimi naweza nikapigana burekiwatengu na huyu mamaafacebook ni nani? Au kuna kubwa na ndogo?
hizi night stand ziko ngapi mbona kila kukicha inazuka mpyahuyu mamaafacebook ilikuwa ni one night stand baasi...