Shangwe zinasikika kwa mbali, DR. WILBROD SLAA atangazwa mshindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shangwe zinasikika kwa mbali, DR. WILBROD SLAA atangazwa mshindi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by werawera, Oct 21, 2010.

 1. w

  werawera Senior Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Peponi, mbinguni, kuzimu, jehanum na sasa sauti inakaribia duniani kelele za shangwe na machozi ya furaha yakimiminika watu wakisikiliza matokeo ya urais ya uchaguzi 2010. Dr slaa Wilbrod atangazwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Tanzania. Watu wakitumiana meseji za hongera. Mafisadi wakipigia wakiulizana vipi pasipoti unayo? Inabidi tusepe. Hureee, Hongera watanzania kwa kuonyesha PEOPLES POWER View attachment 15606
   
 2. General

  General Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  join date...very recent
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha !! Recent lakini anasema ukweli wake wa uhuru wa maoni (Parts of Democracy Standard Four Civics).
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  So what?
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Dr, Wilbrod Slaa atangazwa kuwa ni mshindi wa tatu wa kiti cha uRais wa Jamhuri ya Tanzania. Ila muwekeeni sukari na chunvi karibu :biggrin1:
   
 6. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mshindi wa Tatu? Ndio maana umejificha ili usionekane, unaonesha vidole tu
   
 7. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  A genuine leader is not a searcher for consensus but a molder of consensus

  Dr. Slaa is a molder of consensus

  Jk is a seacher for consensus
   
Loading...