Shanghai Usiku! Wow!

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
on-hazy-days-in-shanghai-theres-no-moon-and-no-stars.jpg
 
sheria yao ile kali dhidi ya wara rushwa imewasaidia sana kama taifa kufika walipofika.
nadhani sisi pia tunaihitaji ili kupiga hatua.
 
Safari bado inaendelea, nasi kwa hatua hiyo tutafikia tu.
Katiba nzuri ya kuwabana wala rushwa imewashinda hayo mtaweza wapi?mmebaki kujivunia utendaji wa mtu mkidhani mtafika mbali endeleeni kujifariji kwamaba katiba mpya na nzuri haina maana bali utendaji wa mtu binafsi ndo mwisho wa matatizo
 
Hapo sasa ndo tunapoanza kuharibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom