Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Waliodandia huu uzi sio watumiaji Sio watumiaji ni wauzaji fatilia story zao,ila hilo halifanyi wanaomjua Shamimu kabla ya Abdul kumzungumzia vyema mnyonge mnyongeni .
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
unamjua abdul vizuri ndugu yangu???

kama umewahi kuwajua hata kwa bahati mbaya wauza ngada wa town wa miaka 10 iliyopita jina la abdul nsembo haliwezi kuwa geni masikioni mwako

huyu na wenzake kina rumishael shoo wamepiga sana dili za ngada wenzake walistuka mapema wakakimbilia south na wengine kuwa low key baada ya gwiji lao shkuba kubebwa na DEA sema huyu abdul alijiona yeye ana mbinu kama za medelin cartel akaendelea kuflex

makonda ana mabaya yake lakini kwenye hili la abdul mtakuwa mnamuonea tu

shamimu kapigiwa kelele sana mitandaoni miaka ya nyuma sana n kina mange kuwa aache kuwadanganya wadada wa mjini kuwa biashara inalipa wakati fika anajua hela anazoflex nazo zinatokana na ngada

adhabu waliyopewa wanastahili kabisa bora mtu akupe ukimwi utakula ARV's kuliko kukufanya uwe adict wa cocaine, meth, au heroine hii kitu mbaya sana
 
Mrangi sasa naamini ulivyonijibu kuhusu wale matozi waliokutwa na zile dawa za kulevya hivi karibuni ulivyosema kwamba itakua ngumu kwao kuchomoka ktk hii case.
Wale washapotea....labda itoke maajabu gani sijui..
Nashanga watu humu wanashanga hawa kupigwa maisha wakt kuna watu wana list ya watu zaidi ya 10 wamepigwa maisha
Tena huyo shamim ana hatihati ya kpelekwa butimba huko ndiko gereza wanawake hupelekwa

Ova
 
Alijiamini na watu waliyokuwa wanamkingia kifua, ila watu wengi walipewa onnyo ila wengine walikaidi walidharau waliendelea

Tambua kitengo kina watu zaidi ya 1000
Siku wakikujia unakutana na sura ambazo
Hata huzijui

Ova
 
kwani sheria inasemaje?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mteremko ni mlima na baada ya mlima ni mteremko.

Wacha wapande kilima chao maana washakwisha pata thwawabu zao za duniani.

Tujitahidi kushuka mteremko baada ya kupanda mlima mkali. Earn what you get Legally
dogo leo umeongea point kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…