Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Ni hatari sana ukioa mwanamke msaka fursa mjini, Tuombe sana Mungu wake zetu wawe kweli na si wasaka fursa mjini maana Dar es salaam na Tanzania kwa sasa kuna wanawake wasaka fursa, mkeo ataitwa au kujiita malkia wa nguvu, mara Wanawake tunaweza nk nk ilimrad kupoteza watu maboya... Hatari sana..

Wengine kwenye vibegi na vipochi vyao hukosi KY kama watu vile ukiwaona barabarani wanakula kiyoyozi...

Dada zetu, Mama zetu, Shangazi zetu wakitanzania hebu badirikeni kidogo mpambane kiuhalisia na mlioko mashuleni mkuze IQ zenu na si kuishi kwa nguvu ya papuchi..Papuchi imeumbwa kutoa burudani kwa mwenzio na kwako na si mtaji au kitega uchumi..
Mbona wanaume huwazungumzii mkuu???
 
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Bungo....moro...dah.....
 
Huyo jamaa mjanja mjanja sana, Abdul Nsembo wa nsembo transport ya magomeni, kuna kipindi walivamiwa pale kwenye lile jengo jamaa wakakamatwa nsembo akala kona, kwa ujanja ujanja wake na kujua kabisa alikuwa analiwa timing sidhani kama angeweza kukaa na hivyo vitu kwake ama kwenye gari...steve nyerere atakula wapi maskini ya Mungu huyu ndio boss wake akiishiwa tuu anazama kwa shamim
Nanii....nyerere hyuu hayati au nyerere wa kmati....?
 
Mjini hapa ukiishi kufuata wenzio wanaishije utaangukia pua,kumbe wenzio wanauza ngada,heri pesa chache na starehe za kawaida zitakazodumu muda mrefu bila kukata,kuliko pesa na starehe nyingi zinazodumu muda mchache,....katika maisha inatakiwa UISHI NA UWE BORA ZAIDI YA JANA ila SIO UISHI ILI UWE BORA ZAIDI YA FLANI utaangamia,.... Kwangu mimi I don wanna be rich but i just wanna be successful!....tuogope shortcut katika maisha!
Hela ya halali haijai haraka, too bad itakuwa kuna mtu kawachomea utambi tu. Haiwezekani saa 8 usiku maaskari watimbe home kwako na kuanza kupiga search!
 
Mara nyingi huo mzigo huwa unakuwa ni wa mamlaka husika ya kupambana na madawa ".... inapotokea wame kuchoka kutokana na kuhusika kwako na hiyo biashara na wamesha kuonya mara kibao kuwa uachane na hiyo biashara kwa sababu tayari umesha julikana na unaichafua nchi katika jumuia ya ki-mataifa. .

Lakini wewe hautaki kuelewa somo ... basi wana kuandalia zengwe la kukupoteza ... wana kuja kwako wakiwa na huo mzigo "... halafu wana kusingizia kuwa ni wakwako "....Au ya weza kuwa katika harakati za huyo jamaa alipishana ki-maslahi na mkuu mmoja aliye kwenye system so huyo mkuu ana amua kumtoa kafara tu
hypothesis
 
Dada wa vibubu, kudunduliza maisha ya insta kama jf kila mtu
mambo swafi!
Sasa siri imefichuka
 
Mweeeh jaah mmmekutaana wa nyuumbani.Watoto wa Moroo Seki...napita tu sie wa Kigurunyeembe kwa Baba Askofuu....
Schoolmate ndio ana kesi ja kazi kweli kweeli.Pooleni...ngoja niwatafute kina Mkude
unazingua mkuu
 
Back
Top Bottom