Shameless man and evil woman, Some men are beyond stu.pid

lara 1 huna sababu ya kumshambulia mwanaume awaye yote hasa endapo hali yake kimaisha imekaa vibaya. Remember, no permanent situation na hakika elewa kuwa kila mtu amekuja na ataondoka dunia hii mtupu.


Otherwise unahitaji mwalimu wa saikolojia.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 huna sababu ya kumshambulia mwanaume awaye yote hasa endapo hali yake kimaisha imekaa vibaya. Remember, no permanent situation na hakika elewa kuwa kila mtu amekuja na ataondoka dunia hii mtupu.


Otherwise unahitaji mwalimu wa saikolojia.

This is post of the day .........!!!!!!!!!!
 
Lara 1 nimependa that kisa,ila natamani kujua mtoto kihuhalisia alikuwa wa nani.......very interesting...............
 
Hilo jamaa ni ----- mtozeni kama haoni kuna watu wengine.Wengine tulivyokuwa college ilikuwa hit and run,muda huu tukionana na hao wapenzi wetu wa zamani tunapeana salamu za kinafiki kama hatukuwahi reproductive organs zetu kuzigusanisha.No regret at all .
 
huyo BOOKWORM hatuwezi kumlaumu unajua wapenzi waliokaa zaidi ya miaka mitatu wanachembechembe za historia ya mapenzi yao ambazo kufutika ni ngumu sanaaaaa hasa wale waliokuwa broke ass ndo kabisaaaaa
Ingawa maamuzi aliyofanya SIO SAHIHI

huyo dada hapo kwenye stori anaongozwa na tamaaa pia sio mvumilivu kabisaaaaa et bookworm hakuwa na maisha ndo mana akaamua kuolewa SHAME ON HER je hayo maisha aliyoyapata sasa huyo bookworm yakiporomoka atamkimbia tena?????????
ina maana mshahara wake bidada usingetosha kusurvive kwa ajiri ya wote wawili wakati wanasubiri opportunity

je mume wa bidada akisikia kupitia mbao fm habari za mtoto haramu itakuwaje hapa bastora lazima ihusike
namsikitikia bookworm atarest in peace kabla hajafaidi maisha

hapo bookworm anahitaji oparation kimbunga kumtoa kwenye mikono ya bidada kabla hajafikia hatua ya kulia na kusaga meno
who know may be i can be the winner hebu lara 1 nipm namba za huyo bookworm nijaribu kuchanga karata zangu joke
 
Last edited by a moderator:
sa huyo mzee aliishiaje huko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

maskini huyo kaka pesa zikiisha si uwezekano wa kukimbiwa uo pale pale tena
 
Lara 1 nimependa that kisa,ila natamani kujua mtoto kihuhalisia alikuwa wa nani.......very interesting...............

Siri ya mtoto anaijua mama!
 
Fundisho kubwa sana!!

Thats why in my life i dont look down upon people!
Respect all!
 
^^
Mwanaume ndie hana msimamo, mwanamke wa aina hiyo hafai kwani ni mla harusini na mkwepa misiba!
Unachukua mwanao na kila mmoja anatembea njia yake.
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…