masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Inaashiria wamekiuka kanuni za usafiKumbe mawaziri hawaruhusiwi kuumwa kipindupindu
Wakenya huwa wanatucheka sana lakini hii sasa ni kali.Inaashiria wamekiuka kanuni za usafi
Kikianzia madongo kuinama hawaoni haja ya kuchukua hatua haraka hadi kiue kadhaa. Huku kwetu kuna mmoja alienda a step further kwa sauti ya ulevi wa madaraka akatamka atakayepata kipindupindu ashtakiwe.Kuna habari kutoka Nairobi, Kenya kuwa mawaziri wawili wamelazwa kwa kuonekana na dalili za kipindupindu.
Kuharisha na kutapika!
Kipindupindu husababishwa na kula vyakula vyenye vidudu vinavyopatikana katika kinyesi!
Poleni Kenya lakini , its a shame!
Very unhygenic Nairobi!
"Since May, there have been numerous cholera cases, with the most recent involving Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich.
A trade event
Mr Rotich, his Trade counterpart Adan Mohammed and Trade Principal Secretary Chris Kiptoo and several staff from the Trade and the Treasury ministries were treated for cholera-related symptoms on Friday.
That was after they ate food served during a trade event at the Kenyatta International Convention Centre."
Source: Nairobi in crackdown to contain cholera outbreak
Waliambukizwa na wale mawaziri wenu!Vipi wale wachezaji wa everton hawakuugua kipindu pindu kweli? Walipokuja kwenu nyie waTZ
Upande wa pili wa shilingi, nenda hoteli kubwa yoyote Kenya na ule at your own risk!!Ni njia mojawapo Mungu kawaonesha mawaziri, shida wazipatazo raia wa tabaka la chini.
Sent using Jamii Forums mobile app