Na pia wananchi waelewe kwamba Tbc ni ya wote wasio na vyama, hata wale wenzetu ambao wanasumbuliwa na magonjwa kama akili,walemavu,wafungwa,watoto,watu wazima na wengi ambao wana matatizo tofauti ni jambo la kila mmoja wetu kuelimisha jamii juu ya nini maana ya serikali maake mie nimegundua hiki kikundi flani cha watu kuanzia Rais na mawaziri na chama chao cha Magamba wanaona wao ndio serikali na pia ndio maana hata hawa wazembe watangazaji wa TBC hawaonyeshi moja kwa moja kama ni TV ya Taifa ili chaguzi zikifika waweza kuwahaada watu especialy wale wa vijijini kuwa oooh tuko na hivi na vile na wapinzani hawana hata Tv na hili ndio tatizo la nchi yetu kwani kule vijijini hata hawafahamu kwa nini wanapiga kura kuchagua viongozi maake wao wanawapa kura Magamba then wanawatosa baada ya miaka 5 wanawaona tena hata hivyo pia hawafahamu kwa nini wamekuja tena then wanawahada then wakijijini wanawapa tena maisha duuh wajinga ndio waliwao