Shambulio la wabunge: Mbowe unda task force ya kumuona rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shambulio la wabunge: Mbowe unda task force ya kumuona rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Apr 5, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Tukio lililotokea mwanza inabidi liitwe kwa staiki yake ni tukio la kigaidi na cdm inabidi ilichukulie very serious
  bila hivyo mara ya pili ataondoka mtu kabisa. ili kumfanya mkuu wa polisi afanye kazi kama inavyotakiwa inabidi
  mbowe aombe kikao na Rais kikwete na kwenye kikao hicho saidi mwema lazima awepo ili atoe maelezo ya kushiba kuhusu vijana wake kuhusika ktk shambulio hili na inawezekana uongozi wa mkoa wa mwanza nao huenda unausika kwahiyo ili
  kuakikisha hatua madhubuti zinachukuliwa basi lazima chadema wam involve jk kwa sababu yeye ndiye aliyewapa kazi na ndio mwenye uwezo wa kuwatimua. swala la usalama wa wabunge wake chadema inabdi ilichukulie very serious na hii ni njia mojawapo ya kuakikisha wahusika
  wanaadhibiwa kikamilifu.
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ninaunga mkono hoja hilo suala halivumiliki hata kidogo. Bora la Lusinde liachwe kuliko hilo.
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Au kama vipi cdm watoe tamko la kututaka tuanze kuwashambulia wabunge na viongozi wa ccm, naona hii ndo itakuwa dawa yao!
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kila kitu kuonana na rais? No. Cdm iende mwanza ikawashitaki hao wahalifu kwa wananchi. Wakati kesi ikiendelea mahakamani cdm ifanye mikutano ya hadhara mwanza kulaani vikali mashambulio hayo.

  Halafu kumbe kiwia ni mwanaume? Hasikiki sana kama wenzake kina machemli na wenje
   
 5. c

  collezione JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huyu raisi kuonana nae kila siku mnampa kichwa. Si unaona madktari kilichowatokea.

  Walienda kumuona, kumbe jamaa alikuwa anawachora tu madaktari wetu.

  Mwishowe akawachamba mbele ya wazee wa CCM...haha
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani rais haoni mpaka afatwe?
   
 7. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani Tanzania kuna rais? Mimi hata simjui, mnijuze tafadhali
   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi nadahani hili suala liko wazi kabisa,kipindi CCM inaadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwake tulionyeshwa kwenye TV sungusungu wa CCM wenye silaha za jadi pale uwanja wa CCM Kirumba so naona hao vijana walikua sasa wanazijaribu kuona kama zina makali yanayotakiwa though am telling you hii ni hatari sana ikiachwa bila kupatiwa ufafanuzi wa kina. Hata nchi zingine mambo yalianza kidogo kidogo maana kesho inaweza ikawa ni zamu yao tena kwa kiwango cha hali ya juu.

  First they came for the Jews and I did not speak
  out because I was not a Jew.

  Then they came for the Communists and I did
  not speak out because I was not a Communist.

  Then they came for the trade
  unionists and I did not speak out because I was not a trade
  unionist.

  Then they came for me and there was no one left to speak out
  for me.
  By Pastor Niemoller
   
 9. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Nashauri kwa sababu jeshi la policcm limekuwa likifanya kazi zake kwa misingi ya kibaguzi na uonevu, mara nyingi wameshindwa kudhibiti uhalifu, hawa waliopewa pikipiki siku hizi wamekuwa ni adui namba moja wa waendesha bodaboda lengo la wao kupewa pikipiki limekuwa siyo kwa ajili ya kulinda usalama tena bali ni kwa ajili ya ujasiliamali. Trafic ndo usiseme badala ya kukaa barabarani kuhakikisha madereva hawafanyi makosa wao wanajificha na kuvizia madereva wafanye makosa na kuwatishia notifications za shilingi 20,000/- ili madereva wajilengeshe wao wenyewe kutoa kiasi chini ya hicho ambacho hatimaye huishia mifukoni mwao. Hawa wanaoitwa wapelelezi ndo usiseme wao wanachukua pesa kwa mtuhumiwa ili wampendelee katika uchunguzi na kwa anayeshitaki naye usizani hatakwanguliwa, yapo mengi ambayo jeshi la policcm wamekuwa wakiyafanya kiasi mapendekezo yangu kama 2015 tutapata ukombozi wa kweli hili jeshi ni la KULIVUNJA na kuundwa upya.
   
 10. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumuona Kikwete juu ya shambulio la wabunge wa CHADEMA Mwanza ni kujiua kisiasa.Kwenda mahakamani pia ni kujiua kisiasa.Njia ni moja tu,CHADEMA TAIFA IENDE KUSHITAKI KWA UMMA WA MWANZA KISHA WANAMWANZA WASEME WENYEWE AINA YA HATUA ZA KUCHUKUA DHIDI YA ccm na Polisi
   
Loading...