Mrs ma2mbo, kwanza nimekumisi!
Hakuna shambulio la ngono, kuna shambulio la aibu. Linahusisha kushikwa kusiko sahihi (inappropriate touching).
Kubakwa ni lazima kuwe na muingiliano (penetration). So kama kubakwa hakujafanikiwa inabakia kuwa na shambulio la aibu (sexual assault)