Kichwa cha habari kinahusika kama kilivyoandikwa
Tafadhali,kwa yeyote ambaye yuko serious na anayo hela ,awasiliane nami bila kusita,
napatikana 0787757413,bei maelewano yapo kwa ambaye yupo serious
naomba kuwasilisha!
- Bei milioni 8
- Shamba lipo ukingoni mwa mto wami
- Ukubwa wa shamba hecta 30.
- Wakati wa masika unaweza lima mazao kama mpunga na wakati wa kiangazi waweza lima vitunguu
- Shamba liko kilometa 40 kutoka mjini kupitia njia ya moro-dodoma(Wami dakawa)
Tafadhali,kwa yeyote ambaye yuko serious na anayo hela ,awasiliane nami bila kusita,
napatikana 0787757413,bei maelewano yapo kwa ambaye yupo serious
naomba kuwasilisha!