Shamba na viwanja vinauzwa bei poa

Shamba na viwanja vinauzwa bei poa

Disailly

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
130
Reaction score
13
wanajamii mambo kuna mashamba ya ekta moja matatu na vipande vya viwanja kama kumi vya ukubwa wa hatua 40x25 Vinauzwa kwa bei poa tu vipo maeneo ya Kibaha kwa mathias bei kwa mashamba ni kuanzia milioni 8 Na kwa viwanja ni kuanzia 4 5 Kwa mawasiliano piga simu namba 0714973871na 0754286329 ULIZA mzee NDESILE WAHI KABLA HAVIJAMWISHA
 
Nyie watu wa Kibaha chukueni tahadhari msiuze ardhi yenu yote, kwa mwendo huu mwishowe mtakosa hata sehemu ya kukaa na kulima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom