Shamba na miti yke linauzwa

Shamba na miti yke linauzwa

Nzamilisi

New Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Shamba la miti ya kufuga linauzwa..Shamba lipo njombe Lupembe likiwa na ukubwa wa ekari 10 na kila ekari ni 170,000 tu...serious buyer piga 0767883348
 
Shamba la miti ya kufuga linauzwa..Shamba lipo njombe Lupembe likiwa na ukubwa wa ekari 10 na kila ekari ni 170,000 tu...serious buyer piga 0767883348
Unaposema shamba la miti unamaanisha kuna miti shambani? Je ina umri gani hiyo miti?
Pia naomba ufafanuzi neno " miti ya kufuga"
 
Linauzwa shamba pamoja na miti yake yenye umri wa miaka miwili tangu ipandwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom