filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 20, 2019 #1 Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105,
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,973 Reaction score 18,441 May 20, 2019 #2 Tangazo bila picha/video clip sawa na taka taka tu
Labista Member Joined Oct 11, 2018 Posts 16 Reaction score 4 May 20, 2019 #3 filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Bei inaendaje mkuu? Miti ina umri gani? Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi
filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Bei inaendaje mkuu? Miti ina umri gani? Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,967 Reaction score 7,658 May 20, 2019 #4 filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Kakope bank weka hati yako ndio ushawauzia hivyo
filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Kakope bank weka hati yako ndio ushawauzia hivyo
filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 21, 2019 Thread starter #5 pilato93 said: Kakope bank weka hati yako ndio ushawauzia hivyo Click to expand... Asante kwa ushauri mzuri.
pilato93 said: Kakope bank weka hati yako ndio ushawauzia hivyo Click to expand... Asante kwa ushauri mzuri.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,194 Reaction score 33,564 May 21, 2019 #6 Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani
filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 21, 2019 Thread starter #7 Countrywide said: Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani Click to expand... Miti inayo uzwa pamoja na shamba ina umri wa miaka minne,ekar mbili ,bei ni 2.milion maongezi yapo,ipo mufindi luhunga.
Countrywide said: Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani Click to expand... Miti inayo uzwa pamoja na shamba ina umri wa miaka minne,ekar mbili ,bei ni 2.milion maongezi yapo,ipo mufindi luhunga.
filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 21, 2019 Thread starter #8 filbath said: Miti inayo uzwa pamoja na shamba ina umri wa miaka minne,ekar mbili ,bei ni 2.milion maongezi yapo,ipo mufindi luhunga. Click to expand... Na yakuchana mbao ekali mbili bei milio 2.5
filbath said: Miti inayo uzwa pamoja na shamba ina umri wa miaka minne,ekar mbili ,bei ni 2.milion maongezi yapo,ipo mufindi luhunga. Click to expand... Na yakuchana mbao ekali mbili bei milio 2.5
filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 21, 2019 Thread starter #9 Labista said: Bei inaendaje mkuu? Miti ina umri gani? Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi Click to expand... Hii ni yakuchana mbao,picha za ya kufuga naleta
Labista said: Bei inaendaje mkuu? Miti ina umri gani? Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi Click to expand... Hii ni yakuchana mbao,picha za ya kufuga naleta
filbath Member Joined Jan 25, 2019 Posts 8 Reaction score 36 May 21, 2019 Thread starter #10 kawombe said: Tangazo bila picha/video clip sawa na taka taka tu Click to expand... Picha unazo zihitaji hizi apaa
kawombe said: Tangazo bila picha/video clip sawa na taka taka tu Click to expand... Picha unazo zihitaji hizi apaa
Labista Member Joined Oct 11, 2018 Posts 16 Reaction score 4 May 25, 2019 #11 filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Haupo hewani mkuu, Nimekuchek WhatsApp na normal text, Nimepiga pia namba haipatikani.
filbath said: Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105, Click to expand... Haupo hewani mkuu, Nimekuchek WhatsApp na normal text, Nimepiga pia namba haipatikani.
saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 729 Reaction score 653 May 25, 2019 #12 Kama yapo mangine karibu na mgololo ni PM