shamba linauzwa

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
shamba liko Bagamoyo.unaingilia shule ya baobab.kama km2 toka barabarani
ni heka 8
:linakisima kilichochimbwa na machine kwajili ya umwagiliaji
:mabanda yaufugaji
:nyumba ya mlinzi n.k
bei milion 10kwa heka ila ukinunua utalipia na nusu ya garama ya uchimbaji wa kisima kilichopo

unaweza nunua hata heka 4...
nichek kwa 0654160092
 
Sorry cjaelewa kwa heka moja ndo 10 m, au
 

Bei ya mwisho kiasi gani kwa heka moja?
 
nipigie tuongee biashara mkuu
 
hapana kwakweli nnicall uongeze tuanye biashara
 
kutoka lami ni almost km2 na nusu
 
mana lami na mpaka p kuchepukia hapana umbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…