Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

aikasiya

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
26
Reaction score
5
Lipo bagamoyo kijiji chakidomole' hatua chache toka barabara ya mlandizi/bagamoyo, ukubwa ni ekari mbili..
4Millions (two mill per eka)
Karibuni
 
mnh sio huyu alikuja na heka100 each ni laki nne,mara hii vimepanda bei??
 
Ninayo mkuu' kibali chamakubaliano yamauzo' kinatolewa nakijiji
 
Hapana sio mimi justina' ninamiliki ekari mbili tu.nandizo ninazouza..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom