Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Eddy GEng

Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
17
Reaction score
0
Habari zenu binafsi wadau!
Kuna shamba linauzwa,liko Kibaha kwa Matius njia ya kwenda kwa Dr Bayi lina ukubwa wa ekari 1.5 bei yake ni million 3 na nusu
kwa mawasiliano zaidi...mpigie
MR SUNDAY -0712 498 825 huyu ndiye mmiliki wa eneo hilo.
 
Mkuu lina hati miliki?
 
Liko umbali gani toka morogoro road??? nijibu haraka pls!!
 
'sredi' hii huku imeingia choo cha wakwe. Huku ishu zake ni kafulilaz,makambaz,Ra,El,chama dume,chama cha mafisadi,pipoz pawa,ccm b,maandamanoz,ngunguri,masaburi na kadhalika
 
Habari zenu binafsi wadau!
Kuna shamba linauzwa,liko Kibaha kwa Matius njia ya kwenda kwa Dr Bayi lina ukubwa wa ekari 1.5 bei yake ni million 3 na nusu
kwa mawasiliano zaidi...mpigie
MR SUNDAY -0712 498 825 huyu ndiye mmiliki wa eneo hilo.

Lina mazao mkuu? Umbali toka barabarani ni Km ngapi?
 
'sredi' hii huku imeingia choo cha wakwe. Huku ishu zake ni kafulilaz,makambaz,Ra,El,chama dume,chama cha mafisadi,pipoz pawa,ccm b,maandamanoz,ngunguri,masaburi na kadhalika

Ujumbe wako uko nusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom