Shamba linauzwa

Kipis

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
492
61
Upande wa mshariki lina urefu wa mita244, upande wa kaskazini, lina upana wa mita247, upande wa magharibi,lina urefu wa mita280 na upande wa kusini,lina upana wa mita123. Shamba lipo kimbiji wilaya ya temeke,mkoa wa dar es salaa. <br />
<br />
ni mwendo wa masaa mawili au moja na nusu kutoka kigamboni hadi sehemu husika. Lipo umbali wa mita hamsini ilipo barabara na dakika kumi na tano tu kufika baharini. Bei ni tsh.80, 000, 000/= haina udalali.0715 664 478
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom