Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
682
Reaction score
863
Habari wakuu
Shamba linauzwa ni robo Tatu ya heka lipo tukuyu mjini MbeyA

Shamba Lina Miche ya maparachichi ya kisasa ipatayo 70 ni kipo sehemu nzuri na limetunzwa ipasavyo
Miche ina mwaka mmoja na ipo usawa wa magoti inaendelea vizuri sana

Bei ni kuanzia million 8 na mazungumzo yanaruhusiwa

Sababu ya kuuzwa ni matatizo ya malazi
Kwa mmiliki wa shamba
Asanteni
 
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0687707405
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom