Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Idofi

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
2,294
Reaction score
2,007
Shamba lenye ukubwa wa eka nne linauzwa lipo mkamba Kigamboni kilometer 11 kutoka kibada bei milioni tatu kwa eka kwa mawasiliano 0762 068839
 
Mkamba kutoka kibada ni km 11???? Kutoka site kwangu pale Mwasonga kwenda mkamba ndiyo km 11, na kutoka kibada hadi Mwasonga ni km 17. Kapime tena ili hata ukipata Mteja ajue Ukweli halisi. Kutoka ferry hadi Mwasonga ni km 30 hapo bado mkamba.
Shamba lenye ukubwa wa eka nne linauzwa lipo mkamba Kigamboni kilometer 11 kutoka kibada bei milioni tatu kwa eka kwa mawasiliano 0762 068839
 
kutoka kibada hadi mwasonga ni km 9
 
Bishaneni kwanza kuhusu kilometers mkipata jibu mkuje upya
 
Kuna harufu ya dalali mahali... Sio hapa lakini
 
Unaweza usijue kilometres pamoja na kukaa huko kitambo
Sawa lakini ngoja apatikane Mteja akikuta kutoka kibada hadi mkamba 9km basi itakuwa Heri. Lakini atakayeenda aje aseme Ukweli kama hajakuta kilometer zaidi ya hizo hadi mkamba.
 
Hapana hakuna Dalali ila hajapima vizuri kilometer maana bango la kuandikwa njia ya mkamba lipo site kwangu hapo tayari umeshatembea zile kilometer zote kutoka kibada, Mpaka uje ukutane na chuo cha kilimo cha mkorea. Nilichomsaidia awake km sawa ili Mteja wake ajue anaenda kununua sehemu yenye umbali gani. Kuliko kutumia business language halafu akose Mteja kwa kutokuwa makini.
Kuna harufu ya dalali mahali... Sio hapa lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom