Shamba linauzwa Njombe - Magoda

Shamba linauzwa Njombe - Magoda

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Tangazo: Kwa yeyote au waishio Njombe nina shamba la kulima lenye eka tatu nauza, lipo maeneo ya Njombe Magoda.

Kwa yeyote anayehitaji anione kwa no 0755011511 au 0716102060
 
Magoda sehemu gani mkuu? Magoda kubwa mpaka Lunyanyu,pia weka bei
Dadaa!! Si mchezo kaka nmekukubari no pale kilenzi kaka bei nataka kika eka milioni moja lkn mazungumzo yapo kaka
 
Dadaa!! Si mchezo kaka nmekukubari no pale kilenzi kaka bei nataka kika eka milioni moja lkn mazungumzo yapo kaka
Nimekusoma mkuu,Kilenzi unafika shule? Na upande upi ukiwa unaelekea pelaga? Umbali kutoka barabarani je?
 
Nimekusoma mkuu,Kilenzi unafika shule? Na upande upi ukiwa unaelekea pelaga? Umbali kutoka barabarani je?
Ni upande wa kulia kama unaelekea pelaga kama unajua zilipo ofis za serikali kuna njia pale ya kuingilia shambani.
 
Ni upande wa kulia kama unaelekea pelaga kama unajua zilipo ofis za serikali kuna njia pale ya kuingilia shambani.
Nimepapata mkuu,baada ya kupita ghala la serikali eneo zuri sana wadau changamkieni mi binafsi nitakawia kupata pesa ningekuja kulichukua.
 
Bas nimeshapata jibu, ntakupigia kwa no ulioweja hapo tuongee. Mimi nipo Njombe matalawe
asante, Mimi Niko DSM lkn ntakuunganisha na wazazi wapo kwenye eneo husika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom