Shamba linauzwa Njombe Lupembe

Shamba linauzwa Njombe Lupembe

ronis

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
22
Reaction score
3
Wadau,

Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.

Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
 
wadau,

kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.

Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
kumbe shamba kuwa karibu na wamarekani na wapakistani inaongeza value?mie ninayo nyumba iko karibu na waganda,nadhani pia value yake itaongezeka....................samahani lakini. Mie nina mpango mkulima hapo baadaye,bado najipanga,kila la kheri.
 
Unatakiwa uwe mwelewa kama mada haikuhusu unatakiwa utulie sio kuchangia jambo usilo lifahamu ndugu kwako halina umhimu kwa mwingine eneo linaumuhimu sana.
 
Wadau,

Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.

Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.

Mkuu mbali ya miti na chai ni mazao gani mengine yanastawi eneo hilo ukizingatia Lupembe ni nchi ya mabonde na miinuko, shamba liko karibu na kiwanda cha chai chenye mgogoro (MUVULU)?.
 
Ni kweli mkuu kuna milima na mabonde eneo lipo sehemu nzuri na lina kubali kilimo cha zao lolote bila kutumia mbolea mimi niliwekea mfano wa hayo mazao mfano waliko nunua wapakista wao wamepanda matunda maparachichi. Ni eneo lenye lutuba nzuri sana liko mbele ya kiwanda cha muviulu.
 
Mkuu mbali ya miti na chai ni mazao gani mengine yanastawi eneo hilo ukizingatia Lupembe ni nchi ya mabonde na miinuko, shamba liko karibu na kiwanda cha chai chenye mgogoro (MUVULU)?.
Muvyulu sio kiwanda bna. Ila hongera unajarib kufatilia mambo... Factory pale ni ikanga na lupembe.
 
Wadau,

Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.

Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
Unauza kuanzia ekari ngapi mkuu
 
Shamba kubwa linauzwa lipo Lupembe Njombe Tanzania linaukubwa wa ekari 1000 bei (150,000) laki moja na nusu kwa ekari. Eneo linakubalika kwa matumizi ya kilimo cha aina yoyote na ni tambalale. mawasiliano 0757003302.
 
Samahani mkuu, kilimo cha mpunga au mahindi kinakubali hayo maeneo?
 
Shamba kubwa linauzwa lipo Lupembe Njombe Tanzania linaukubwa wa ekari 1000 bei (150,000) laki moja na nusu kwa ekari. Eneo linakubalika kwa matumizi ya kilimo cha aina yoyote na ni tambalale. mawasiliano 0757003302.
mbona ueleweki Mara ekari 650 mara 1000, Mara 100000@kwa ekari Mara 150000, kipi ni kipi?
 
mkuu maeneo hayo bado kuna mashamba naweza kupata....???

kama hutojali naomba nijibu kwa sms au call normal namba yangu ni
0744351411
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom