Shamba linauzwa Mwandege - Mkuranga

Balanguru

New Member
Jan 19, 2012
1
0
Wadau, Shamba linauzwa Mwandege - Mkuranga lipo karibu na Mwanzo Lodges. Eneo lina kisima cha kuchimba pamoja na ndani ya shamba lina maeneo mawili yenyewe vijito vizivyokauka mwaka mzima. Eneo ni tulivu ni tulivu. Lipo takribani nusu kilometa kutoka barabara kuu ya kilwa. Lina ukubwa wa 11.769 629 319 acres ambazo zimepimwa na lina hati. Kwa mawasiliano tafadhali Ni PM. Kazi njema.
 
Nitumie SMS tuongee bei Kwan ninahitaji shamba kipande hicho wasiliana na Ndugu Mihayo. B. K no 0784331100,0759331100,0658331100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom