Shamba linauzwa Morogoro

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,151
Reaction score
809
Anayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tuwasiliane.
Shamba ni zuri kwa kilimo cha ufuta,mahindi na nk.
 
fafanua kidogo mkuu morogoro wilaya ipi kwa mfano?
 
Nameambia viazi Mviringo vina stawi vizur maeneo ya Mgeta, kama ni kweli nataka maeneo huko
 
Nameambia viazi Mviringo vina stawi vizur maeneo ya Mgeta, kama ni kweli nataka maeneo huko

Ni kweli viazi mviringo vinastawi vzr, pia kabichi, maharage, conflower,kiujumla kila kitu chamboga mboga moro mjini kinatoka mgeta.
kuhusu ardhi sijui kwa kweli km wanakodisha kule, maana ni mlimani
 
Ni kweli viazi mviringo vinastawi vzr, pia kabichi, maharage, conflower,kiujumla kila kitu chamboga mboga moro mjini kinatoka mgeta.
kuhusu ardhi sijui kwa kweli km wanakodisha kule, maana ni mlimani
thnx mkuu! Kama utapata mtu kuanzia heka 3-5, shamba liwe karbu na Maji, kama vp Pm
 
kwa wanaohitaji tuwasiliane. Namba nimeziweka hapo wakuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…