Shamba linauzwa mkoani iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba linauzwa mkoani iringa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bwana, Jan 27, 2010.

 1. B

  Bwana Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Shamba lenye ukubwa wa eka 528 linauzwa mkoani Iringa.
  Bei 250m. Lipo Kijiji cha Kiponzero eneo la Ifunda. Lina hati ya miaka 33.
  Call 0713619850
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  limenusurika na mafuriko ya jana usiku?
   
 3. B

  Bwana Member

  #3
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndiyo.
   
 4. GY

  GY JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  limesajiliwa kwenye mpango wa kilimo kwanza na mapinduzi ya kijani?
   
 5. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Naomba utoe mwanga zaidi wa hili shamba. Kwamba lina vitu gani ndani, yaani is it developed? Na hiyo lease inamuda gani sasa? Kwamba imebakia miaka mingapi?
  Kuhusu Barabara, is it easily accessible? Ni mazao gani yanaweza stawi, mpunga? Mahindi? Je linafaa kwa kilimo cha umawagiliaji? Kuna Mto karibu?
  Hebu lipambe pambe kidogo maana si shamba dogo hilo .
  Asante.
   
Loading...