Shamba linauzwa Mbinga mjini eneo la lusaka ekari 3

Hepatis B

Senior Member
Feb 11, 2013
183
127
Kama kichwa cha habari kinavyosema eneo ni ekari tatu kamili barabara ipo viwanja vimepimwa karibu kabisa na hapo. Shamba linafaa kujenga, kupanda miti, kahawa na kilimo cha kawaida bei milion 4.5. Karibuni sana.
 
Duh haya maisha bana hapa nilipo hata 10m kwa 10m hupati kwa milioni 4.5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom