Wakuu nauza shamba nzuri, liko kwenye halo ya unyevunyevu wakati wote. Ni lenye ukubwa wa hekari 20 na kila moja ni 70,000. Ni mashamba yaliyopimwa na serikali ya kijiji. Kama utahitaji basis ni PM au nitafute kwa no. 0716 888288
Malinyi iko wilaya ya ulanga morogoro. Unapita Ifakara na kuvuka mto kilombero then unaenda malinyi. Ni shamba jipya halijawahi kulimwa. Ila linafaa hata kwa mifugo kwani maji yapo jirani sana