we dalali kitomai bana mali zako bei ghali sana,,, sjui unaeka cha juu kingi,,, duh,, bunju milioni 45?????? Salasala 50????... Nimeshindwa
Hivi mungu wa huko ni tofauti na wa huku kwetu vingunguti?Lina ukubwa wa hekta nne. Lipo pembezoni mwa barabara iendayo Goba.Lina hati miliki Linauzwa USD 250,000/=
Kwa kulitazama au maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233
Hivi mungu wa huko ni tofauti na wa huku kwetu vingunguti?
Au wanaishi huko wataenda peponi direct?
Maana hapo tunaongelea 400m lol!
Mie ninacho mvuti ni heka 7 nauza mil45,000 tuu.
Yani USD 28,000 tuu.
Si ndio hapo namimi nashangaa?Japokuwa sijui Goba ipo wapi zaidi ya kumsikia Mnyika akipigania maji wa wakazi wa mji huo lakini hivi kuna utofauti mkubwa wa Goba na Mvuti mpaka mtu auze kwanja hekta nne kwa 400,000ml!!!!!
Mkuu 'akenajo'naona umejikatia tamaa ya kumiliki ardhi hapa town,by the way dr Slaa akiwa prezidar ardhi itashuka bei sana,hiyo ya dollar 250,000 itashuka mpaka dollar 2,500 lol!kwa hio bei ni wa tz wachache watamiliki ardhi,but no way bado kuna mapori mengi nchini hayajaendelezwa
Tembea uone thamani ya ardhi Bongo inazidi kupanda juu. Hapo bado mambo ya East Africa hayajakaa vizuri. yakiwa katika mstari kama wanaopanga hao wanaopata AAAAAA. Warundi, waganda, wakenya watakuja kununua ardhi hapa itakua haishikiki. AU itakapofutwa hiyo sheria inayosema ardhi ni mali ya umma na kuwa mali ya mtu binafsi. Kamata ardhi sasa kwa manufaa yako na vizazi vijavyo!
Hapo umechemka mgeni harusiwi kununua ardhi labda kwa njia ya panya.? Sanasana wageni wanaingia ubia au wananunua kwa jina la mtz kwa mtizamo anakuwa kaliwaTembea uone thamani ya ardhi Bongo inazidi kupanda juu. Hapo bado mambo ya East Africa hayajakaa vizuri. yakiwa katika mstari kama wanaopanga hao wanaopata AAAAAA. Warundi, waganda, wakenya watakuja kununua ardhi hapa itakua haishikiki. AU itakapofutwa hiyo sheria inayosema ardhi ni mali ya umma na kuwa mali ya mtu binafsi. Kamata ardhi sasa kwa manufaa yako na vizazi vijavyo!
Japokuwa sijui Goba ipo wapi zaidi ya kumsikia Mnyika akipigania maji wa wakazi wa mji huo lakini hivi kuna utofauti mkubwa wa Goba na Mvuti mpaka mtu auze kwanja hekta nne kwa 400,000ml!!!!!