Shamba linauzwa lipo Vikuruti-Mlandizi

Shamba linauzwa lipo Vikuruti-Mlandizi

ngogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
359
Reaction score
54
Ukubwa heka 10 lina mikorosho na minazi, lipo karibu na makazi ya watu ni zuri kwa matumizi yoyote, gari linaingia, bei Tsh 2m kwa heka, nitafute kwa 0717000990/0764434673
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom