Shamba linauzwa lina ukubwa wa heka 200

wolter makoga

Member
Mar 5, 2017
31
9
Lipo ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe
Shamba linafaa kulimwa miti ya mbao, parachichi pamoja na nanasi
Linauzwa kuanzia heka kumi na kuendelea
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Bei Ni tsh laki moja kwa heka
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Punguza bei kiongozi alafu upunguze idadi za ekari zinazotakiwa kununuliwa kwa wakati mmoja, alafu weka mawasiliano yako...lupembe sio ndio huko kwenye machai, kuelekea Lugalawa ama?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Lupembe kweli kuna michai ila sio kuelekea lugarawa
Lugalawa vipi kule nliacha wanapanda miti kuna siku nlitembelea mavanga pale kuna shirika lilikuwa linagawa miti, sikuwa na muda sana ilaila nlipapenda sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom