UTAJIRI NJE NJE
Ni Shamba la Eka 10, lipo Mkoa wa Tanga, Wilaya ya Korogwe, Kata ya Kilole njia ya kuelekea Kanisa la ROMA. Kutoka ilipo round about Mzunguko wa Kilole Mjini ni umbali wa Kilomita 3 mpaka Shamba lilipo.
Shamba lina mazao mengi mno.
Michungwa ya kuvuna Miti 1500, Mikorosho ya kisasa ya kuvuna Miti 500, Miti ya mbao ya urefu wanchi tano iko 600, kuna Miembe yakutosha, mifenesi, migomba na milimao mingi. Katika Shamba kuna nyumba ya vyumba viwili ya matofari ya kuchoma iliyoezekwa kwa bati mpya, kuna banda la Kuku lenye uwezo wa kuchukua kuku 600 mpaka 1000, kuna tank la kuhifadhia maji lenye upana wa futi 7 na urefu futi 7.
Bei ya Shamba lenye vitu hivyo ni maelewano.
Biashara hii haina mtu wa kati (dalali), maana yake ni utafanya biashara na mimi na utamalizana na mimi pamoja na familia yangu.
Mawasiliano; Namba ya simu: 0717-180583/ 0686-347761/ 0714-617000/ 0782-605565
Barua pepe
abbymaonga@gmail.com
Abdallah Khalid Maonga