Shamba linauzwa Kongowe Kibaha

Shamba linauzwa Kongowe Kibaha

Richard Rabbo

New Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Shamba lipo eneo la kijiji cha Soga-Kongowe Kibaha karibu na panapojengwa mradi wa reli ya kisasa ya standard gauge. jumla zipo ekari tano na kila ekari moja ni shilingi milion sita (6,000,000/=) mazungumzo yapo. huduma muhimu kama maji, umeme na barabara safi zinapatikana na pia karibu na shamba hilo kuna shule ya sekondari. kwa anayehitaji anitafute kwa namba 0717 330230
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom