Shamba linauzwa Kigamboni

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
540
Reaction score
258
Shamba la hekari 3 linauzwa Kigamboni. Liko kilometa 3 kutoka Dar Zoo, Mwasonga. Liko mita 150 kutoka barabara kuu, na liko kwenye mji wa Mwasonga. Linafaa kwa Biashara na Makazi. Bei ni Maelewano.

Wasiliana na mimi ndo mwenye mali.
 
Unaona shida gani ukituwekea bei ya kuanzia? Unafanya usiri utafikiri unauza madawa ya kulevya!!
 
Unaona shida gani ukituwekea bei ya kuanzia? Unafanya usiri utafikiri unauza madawa ya kulevya!!

Watu wa namna hii ujue anataka shida zake zote aziangushie kwenye mauzo haya kiasi anaona aibu hata kuweka bei hapa anataka akakutajie chobingo, sasa wewe unauza kitu, bei? Eti"maelewano", au "nipigie tuzungumze"! Maelewano ya bei ipi? Weka bei ili nijue naweza kutia maguu au hapana ili nisipoteze credit zangu kukupigia simu. Binafsi huu utaratibu huwa unanikera sanaaaa!!! :yell:
 
Piga 0762 258 484
 
Weka bei tujue kama tunaweza kuvunja kibubu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wengine wanapenda kuonekana cm zao zipo bize
weka bei mtu akikupigia ujue anamkwanja
 
George.W.Bush anajua kuwa eneo lake linauzwa??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…