Shamba linauzwa Kigamboni Kimbiji

Shamba linauzwa Kigamboni Kimbiji

samlai

Senior Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
149
Reaction score
98
Nashukurun sana wanajavi siku chache niliweka tangazo la kuuzwa shamba eka 10 nashukuru mnunuzi kapatina maana mwenye shamba alikuwa namatatizo anauguza kwaiyo ilibidi mgonjwa wake kwenda kutibiwa India na pesa alikuwa hana kweli aseti nifaida.

Nawashukuru sana. Ila kunazingine tano zinauzwa million 3 kwa kila heka. Ni sehemu salama unaweza kujenga au kulima matikiti maji yapo mchanga upo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom