Shamba liko karibu na umeme na maji na je linanyumba ya aina gani na ni ya vyumba vingapiWakuu salamu. Shamba lipo Kibiti-Shinyanga, 10km toka barabara iendayo Mtwara... Shamba ni safi na linafaa kulima ufuta, kuna nyumba... Ukubwa wa shamba ni heka 30... Bei ni 12ml. pungufu tunaongea... Karibuni...
Mkuu, naomba picha tafadhari.Wakuu salamu. Shamba lipo Kibiti-Shinyanga, 10km toka barabara iendayo Mtwara... Shamba ni safi na linafaa kulima ufuta, kuna nyumba... Ukubwa wa shamba ni heka 30... Bei ni 12ml. pungufu tunaongea... Karibuni...