Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
ukubwa: heka 5
bei: laki 8 @ heka
mahali: ifakara- mngeta
sifa za shamba:.
Liko tayari kulimika, kuna mto pembeni ivyo unaweza kuendesha umwagiliaji,kilimo cha mpunga,cocoa linafaa sana,thamani yake itapanda kwa kasi maana ni karibia na lile eneo walilogundua mafuta,gold.
Sababu ya kuuza: nimepata shamba kubwa la pamoja sehemu ingine.
Maelezo mengine: document zote ipo, tutaandikishiana mbele ya serikali ya mtaa na mashahidi.
Mawasiliano: 0765 377 506 0713 297 066, kwa walio serious piga kwa ajili ya kuona shamba na biashara