Huwezi tapeliwa mwenye eneo ndiye jirani yako anauza 10 anabakia na kumiDah ila Fukayosi kuna utapeli balaa kipande Kile. Sijui kwa nini aisee. Watu wanauziana mashamba yaliyokwishwauzwa kwa watu wengine. Panaogopeka sana kwa kweli.
Ndio ipi hiyo wanyumbaniiii?Pia kuna Viwanja Goba na Kiluvya...
Bei ya mtanzania.
Hati ipooo??Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu
Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi.
Huduma za kijamii zipo
Linafaa kwa Kilimo na Makazi.
Bei ni 1,500,000 kwa Heka moja.
15,000,000 kwa hela zote 10.
Karibuni 0755155782View attachment 1420004
Simchezo...ngoja tuzisake tukae njia ya kwenda home.Hahaha milioni 8 unaangalia mabasi yanavyokwenda Nyumbani