Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3

Yes yapo yanauzwa zaidi ya hiyo bei mkuu. Umwagiliaji sijui wewe uweka taswira gani hapo kwani watu wanachimba visima na kumwagilia mashamba pia ufugaji wa kisasa wa kuku, ng'ombe mbuzi na wanyama wengine wafugwao mkuu karibu kama wahitaji
Chihanga ni mbali sana na Kambi ya jeshi makutupora,unapita mchemwa ndo unaingia huko swekeni.Lakini kwa bei hiyo ni sawa Tena utakuwa umetoa Bure,gawaye heka imefika zaidi ya 4.5m