Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 306
- 166
Lipo kisarawe kijiji cha kifuru station ekari 5 m 2 tu lipo kiharali kabisaa
mkuu lina mazo hilo shamba ama ni poli tu, ni umbali gani toka barabara kuu, urahisis wake wa kutoka barabara kuu kufika kwenye shamba?
msiuze viwanja vya jeshi tu