Wakuu kuna shamba linauzwa lipo bagamoyo njia ya kwenda msata. Ni km chache kutoka bagamoyo mjini. Eka moja 700,000/= zipo heka 150 mwenyekuhitaji tuwasiliane
Wakuu kuna shamba linauzwa lipo bagamoyo njia ya kwenda msata. Ni km chache kutoka bagamoyo mjini. Eka moja 700,000/= zipo heka 150 mwenyekuhitaji tuwasiliane
kwa maana ipi, au unamaanisha lina hati..? kama hilo ndo swali hapana,na unaweza kulipia gharama za upimaji ukalipima kisha ukamalizia malipo kama unawasiwasi..
kule kwetu ni serikali ya kijiji hatuna mitaa, unahakikishiwa na mwenyekiti wa kijiji, na ukitaka unawaomba wakae kikao kukuidhinisha kuwa mnunuzi wa eneo husika unapewa nyaraka ambazo utapeleka wilayani kwaajili ya mchakato wa kupata hati. Watanzania changamkeni, huku wamekuja wazungu mmoja amenunua heak 250 mwinh=gine heka 100 na wameshatengeneza hati zao. barabara ya msata ikianza kutumika bei zitapanda sanamkubwa naomba utuhabarishe kuhusu vibali toka serikali ya mtaa?