Shamba linauzwa Bagamoyo

Shamba linauzwa Bagamoyo

Jeremydemark

New Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa, ni kilometa 10 toka bagamoyo mjini pia lipo karibu na mto wami, ni hekari 20, linauzwa milioni 22 kwa hekari zote,,,
Pia unaweza kununua nusu hekari ambayo ni hekari 10 kwa milioni 11 tu
Wasiliana na 0655512428, 0715546902 na 0719489643
 
Mazao yaliyomo?,au poli tu?,Mimi dalali nikipata mnunuzi zangu ngapi?..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom