mkuu nami pia nilisikia mzozo huo mpaka uendelezaji ulisitishwa. cha msingi kuwa na tahadhari ya juu unaponunua maeneo hayo ili kuepuka mgongano na geeeshi.
Eneo la JWTZ liko mbele zaidi ya nilipo. Ninavyojua ni kuwa mgogoro wao uliishamalizika kwa JWTZ kuwekewa mipaka yao na watu wanaendelea na ujenzi. Anyway, mteja akiwa tayari atapita hatua zinazohusika ili kumuondolea hofu.
mkuu nami pia nilisikia mzozo huo mpaka uendelezaji ulisitishwa. cha msingi kuwa na tahadhari ya juu unaponunua maeneo hayo ili kuepuka mgongano na geeeshi.
Eneo la JWTZ liko mbele zaidi ya nilipo. Ninavyojua ni kuwa mgogoro wao uliishamalizika kwa JWTZ kuwekewa mipaka yao na watu wanaendelea na ujenzi ingawa sina hakika sana maana siufuatilii lwa sababu hauhusu eneo nilipo. Anyway, mteja akiwa tayari atapita hatua zinazohusika ili kupata uhakika na kumuondolea hofu.