Nipe 50m ila eka 4 hili lipo luhangai mwez ujao mavunoHabari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Nasubiri wadau naona unamahitaji kama yangu!Habari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Naona wadau wamegoma kabisa.
shamba lipo mfuruHabari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Ofa yako ni sh ngapi kiongozi zipo heka 10 masaki paleHabari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Ofa yako ni sh ngapi kiongozi zipo heka 10 masaki pale
Sawa mkuu. Mawasiliano?Habari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Njoo PMSawa mkuu. Mawasiliano?
Weka hapa wazi na sisi tujipime. Shamba lako lina mazao au ni poriNjoo PM
Weka hapa wazi na sisi tujipime. Shamba lako lina mazao au ni pori
Acre mbili unauza millioni 3 ?? Hilo shamba lina ubora gani ?Nina heka2 masaki nyuma ya masaki sekondari bei 3milioni kwa zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa mkuranga boss ningekupa heka 20 zina mto pembezoni kwa 13m unanilipa nusu nusu kama pesa kamili haipo.Habari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo.
Ninahitaji shamba litakalofaa kwa kilimo na ufugaji pia. Eneo liwe tambarare au karibia kuwa na tambarare, Pia lisiwe mbali na Makazi ya watu.
● Ukubwa wa eneo usipungue heka kumi. Ziwe kuanzia heka kumi na kuendelea.
● Eneo liwe wilaya ya kisarawe, kuanzia kazimzumbwi na isizidi Masaki.
● Umbali kutoka barabara kuu usizidi kilometa mbilli (2). (BARABARA YA KWENDA MWANARUMANGO)
- Mwenye eneo karibu PM.
Ingekuwa mkuranga boss ningekupa heka 20 zina mto pembezoni kwa 13m unanilipa nusu nusu kama pesa kamili haipo.
0752363857 mkuu samahani nimechelewa kujibuNjoo PM au weka mawasiliano hapa.