MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 Jun 22, 2015 #1 Habari wadau, kuna rafiki yangu anahitaji shamba (la kununua) lenye wastani wa ukubwa wa hekari 15 - 20. Dhumuni ya shamba hilo in kwa ajili ya kupanda mazao ya mboga mboga. Mwenye connection yoyote naomba ani PM. Asante
Habari wadau, kuna rafiki yangu anahitaji shamba (la kununua) lenye wastani wa ukubwa wa hekari 15 - 20. Dhumuni ya shamba hilo in kwa ajili ya kupanda mazao ya mboga mboga. Mwenye connection yoyote naomba ani PM. Asante