Shamba linahitajika haraka

ninalo ruvu kwa kupitia bagamoyo ukipita kidogo ruvu heka kumi
 
Huna shamba ww..kaoge uko
hivi wewe kichwa yako ina ubongo au kamasi? shamba siyo wewe unayetaka au ni mke wa mtafuta shamba? usitake umaarufu kwa pikipiki kama hujui kitu kaa kimya
 
sijawahi kupalima, na mpango wa kwenda wiki ijayo nitakupa jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…