Ndio Ardhi+miti kwa eka tsh 2 milionmkuu unauza ekari (ardhi plus miti) kwa millioni 2 tuu? okay kila la kheri
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Hii Miti haijatimia kuvuna, INA miaka 7 tu na ili uvune walau iwe na miaka 10Hii miti ni ya mbao kweli mkuu?Mbona imekonda sana?
Ni million 20 kwa eka 10 zoteFafanua,hiyo million 10 ni kwa zote ekari ama?
sent by IPhone 6 using jamii forum app