Shamba lenye Miti aina ya pine linauzwa

wolter makoga

Member
Mar 5, 2017
31
9
Zipo ekar 20
Miti ina miaka 2
Bei ni milion 6 na nusu
Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe,
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
 
Zipo ekar 20
Miti ina miaka 2
Bei ni milion 6 na nusu
Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe,
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Tshs 6,500,000/heka 20
= Tshs 325,000/heka
Umepanda miti mimngapi kila heka??
Hakuna migogoro huko??
Hakuna kuchomeana mashamba??
Miti imekua yote shamba zima (hakuna iliyokataa)??
Mikuza ipo??
Majirani zako nao wamelima??
We ni Mwenye Shamba, mwangalizi, dalali, jirani au nani??
 
Miti imepandwa 500 kila ekar
Hakuna mgogoro
Shamba limezungukwa na mashamba ya watu wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom