Wenye hela zenu jamani mjitokeze na mchangamkie fursa hii adhimu! hasa wale longterm investors. Mitiki ekari tano iliyokomaa kwa valuation za soko la dunia kwa sasa ni kama bilioni 20.
Na utunzaji wa ekari moja ya mitiki from zero year till harvesting say around 20 years ni zaidi ya milioni50!
Is better fascinably acquiring this land than planting, because it is said that maintaining a forest at its early(nursery) stage is too risk and costs more than maturing period.
Kuna wadau mna hela humu, changamkie hii kitu.
Hili shamba bado lipo?am interested....kama lipo naomba uniPM mawasiliano yako.asante.
Fanya hesabu za kiuhalisia kaka, 20Bn wapi?
Hii miti inatumika kwenye nini mpaka iwe na value yote hiyo?
Kwa mtiki mkuu!
Nakuhakikishia mpaka mwaka wa mavuno thamani hiyo itafikia na kama unataka kujiridhisha zaidi fuatilia soko la dunia kwa sasa bei ya mtiki inasimama vipi then weka estmation say aftr fifteen yrs uone itakuwaje!
point.Why dont u get a loan from a bank??? Coz u ll get money u want n u ll still be the owner of the farm
Mimi sijakataa, ila nimesema ushushe hesabu ionekane imetokeaje hiyo 20Bn?!!!
Why dont u get a loan from a bank??? Coz u ll get money u want n u ll still be the owner of the farm
Mkuu.. Embu wasaidie hao kwa kukokotoa hiyo hesabu wajione wenyewe.
mkuu hii figure ya mwisho ni sahihi kweli?Mkuu CYBERTEQ usiwe mvivu wa kuseek reliable info.
Katika ekari moja ya mitiki inaingia miche 1000 kwa spacing ya 2metres apart and each.
A single matured teak tree can produce up to 50 pieces of timber if sawn accordingly in 10inches and 7ft dimensions.
Currently a timber of the said dimensions worth TSH20k cash unnegotiable. Tena ni ndani ya bongo hii!
Then, tunashusha hesabu wote kwa pamoja kulingana na ukubwa wa hekari tano hapo juu;
5*1000*50*20000= TSH 5,000,000,000,000/= Hii ni thamani ya sasa kwa soko la bongo! what if imekuwa exported kwenye soko la dunia??!
Je, baada ya miaka 15 haitafikia thamani ya bilioni20TSHs?
Tusiwe wavivu wa kufikiria jamani, wito wangu ni kwamba pandeni miti vijana kwa faida ya baadae!
mkuu hii figure ya mwisho ni sahihi kweli?
Halafu katika mazingira 5bil inakuja kua 20bil katika miaka 15?
Unaweka benki?
Au shamba litaendelea kuzaa?
Dah! Ni shida mkuu, tafta kikokotoo kama huwezi kuzidisha hizo figure mkuu!
Hivi kama leo hii ubao mmoja wa nchi10width unauzwa TSHS20k, je after 15yrs utauzwa bei gani ndugu?
Au kulingana na hesabu ya mwisho i.e 5Bln uiweke fixed a/c kwenye corporate banks aftr 15 yrs hautakuwa na 20Bln TSHs?
Mkuu Shark usibishane na mathematics ndg yangu!
Then kwa maelezo haya,thamani ya bilioni 20 kwa wakati huo itakuwa sawa na thamani ya bilioni 5 kwa sasa!!! Means thamani ya hiyo miti kama ni kweli,ni hiyo bilioni tano!