mikagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 320
- 71
Fursa ya kuwekeza Iringa Mafinga kijiji cha MAPANDA. Shamba heka tatu lenye miti ya mbao aina ya pines ya umri wa miaka mitatu linauzwa kwa milion moja na laki nne ikiwa ni pamoja na umiliki wa hiyo ardhi. Mwenye uhitaj anichek PM tupeane contact kwa mawasiliano zaid.